Marufuku hiyo imetolewa leo, Jumanne Julai 23 na Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Usalama wa Chakula Zanzibar, Dkt. Khamis Ali Omar ambaye amesema bidhaa hizo hazikufuata utaratibu wa uingizwaji nchini.
Mkurugenzi huyo wa Mamlaka amesema bidhaa hizo zinazotoka China, zimeshaanza kutolewa sokoni baada kwa kupita katika maduka mbalimbali na wameshakusanya mabosi 20 ndani ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

No comments :
Post a Comment