dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, August 21, 2019

Idhaa ya Kiswahili ya Radio Cairo yamzungumza Balozi wa Tanzania nchini Mhe. Issa Suleiman Nassor kwenye habari za kimataifa!

KWENYE HABARI ZA KIMATAIFA KUPITIA MATANGAZO YETU YA MOJA KWA MOJA JIONI HII YA LEO NI PAMOJA NA:
🔴Balozi wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa Suleiman Nassor ameelezea shukrani zake kwa Chuo Kikuu cha Alexandria juu ya duru inayochezwa na Chuo hicho kwa kuandaa msafara wa matibabu kwenda Tanzania mapema mwezi huu wa nane tulionao, kwa kushirikiana na mawakala na taasisi za afya kwa ajili ya maendeleo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri, pamoja na ushirikiano wa Jumuia inayoshughulikia maradhi ya watoto yanayohitajia upasuaji katika hospitali ya Al Shatbiy ya Chuo Kikuu, ambapo msafara huo wa madaktari ulitoa huduma zake za kimatibabu ndani ya siku tano.
Balozi Issa ameongezea kusema kwamba shughuli hizo zinaakisi duru muhimu ya Misri katika mchango wake barani Afrika, hususani nchi za bonde la mto wa Nile.

No comments :

Post a Comment