Wafanyakazi kutoka Zimamoto na Uokozi wakionyesha jihitada ya kuzima moto uliyoteketeza baadhi ya maduka katika Soko kongwe la Mbogamboga lililopo Chake-chake Kisiwani Pemba.
Wananchi wa Chake-chake wakishuhudia Moto ukizimwa katika baadhi ya Maduka yaliyoteketea kwa moto katika Soko kongwe la mbogamboga lililopo Chake-chake Kisiwani Pemba
No comments :
Post a Comment