airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 2, 2019

Michael Wambura aandika barua kwa DPP!



Aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa ameandika barua kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa ajili ya kuomba msamaha na kukiri makosa yake likiwamo la kutakatisha fedha zaidi ya Sh. 100 milioni.

No comments :

Post a Comment