dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, October 3, 2019

Uingereza kuwasilisha Pendekezo la mwisho la kujitoa Umoja wa Ulaya!


Waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amesema atawasilisha kwa Umoja wa Ulaya, kile alichokiita pendekezo la mwisho la nchi yake juu ya kujitoa kwenye Umoja huo.

Johnson ametoa kauli hiyo wakati muda uliosalia kwa Uingereza kuondoka kwenye Umoja wa Ulaya ni chini ya mwezi mmoja pekee.

Waziri mkuu huyo wa Uingereza amesema pendekezo hilo ni la busara na la kuleta maelewano.


Hata hivyo, mapendekezo hayo, yanatarajiwa kukabiliwa na ukosoaji kutoka kwa viongozi wa EU wanaotilia shaka iwapo Uingereza ina mpango unaotekelezeka kuhusu kuepuka vituo vya ukaguzi vya mipaka kati ya nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya, Ireland na Ireland ya Kaskazini ambayo ni sehemu ya Uingereza.

No comments :

Post a Comment