Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, November 4, 2019

MAKAMU WA RAIS SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MPYA WA BOTSWANA!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais Edgar Lungu wa Zambia kwenye Hafla ya kuapishwa Rais Mpya wa Botswana Dkt. Mokgweetsi E. K. Masisi iliyofanyika leo Novemba 01, 2019 katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Botswana Indoor Arena Jijini Gaborone Botswana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Edgar Lungu wa Zambia na Rais Emmason Mnangagwa wa Zimbabwe wakishuhudia wakati Rais Mpya wa Botswana Dkt. Mokgweetsi E. K. Masisi alipokuwa akila kiapo kuiongoza Nchi hiyo leo Novemba 01,2019 kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu cha Botswana Indoor Arena Jijini Gaborone Botswana.
Rais Mpya wa Botswana Dkt. Mokgweetsi E. K. Masisi akihutubia Viongozi wa Nchi mbalimbali na Wananchi wa Botswana Baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Nchi hiyo leo Novemba 01,2019 kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu cha Botswana Indoor Arena Jijini Gaborone Botswana. 

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments :

Post a Comment