Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, November 19, 2019

Ufaransa: Watu 254 wakamatwa katika maandamano!

Watu 254 waripotiwa kukamatwa katika maandamano  yanayoendelea nchini Ufaransa.

Watu  254 wakamatwa na jeshi la Polisi nchini Ufaransa katika maandamano ya vizibao vya  njano yalioanza mwishoni mwa mwaka  2018.

Waandamanaji wa vizibao vya njano wanapinga kupanda kwa bei za bidhaa mahitaji  na bei za mafuta.
Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa Christophe Castaner  amekemea kupitia vyomba vya habari  kama Cnews, Les Echos na Europe 1 waandamanaji ambao amewataja kama waharibifu kwa kupelekea ghasia.

Waziri wa mambo ya ndani amewataja waandamanaji kama waharibifu kwa kuzuia vikosi vya uokoaji na zima moto kufanya kazi zao katika maandamano.

No comments :

Post a Comment