Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, November 7, 2019

Zimbabwe: Madaktari 77 wafukuzwa kazi!

Madaktari 77 katika hospitali za Serikali wamefukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu kwa kukiuka amri ya Mahakama ya kuwataka kurudi kazini baada ya kugoma kwa miezi miwili wakitaka maboresho katika malipo ya mishahara

Mwezi uliopita, Mahakama nchini Zimbabwe iliwaamuru madaktari waliokuwa kwenye mgomo warudi kazini ndani ya saa 48, kwa madai kuwa mgomo wako haukuwa halali.
Pamoja na hayo, wafanyakazi wa Serikali nao wameanza mgomo leo baada ya Serikali kushindwa kukidhi matakwa hayo katika maboresho ya mishahara kulipwa katika thamani ya Dola. Serikali imesema haina uwezo wa kulipa mishahara inayofuatana na thamani ya Dola ya Marekani.

No comments :

Post a Comment