dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, December 30, 2019

Ndugu wagoma kuzika hadi Mahari ilipwe!

Familia ya Marry Mushi anayedaiwa kuuawa na mumewe, Moses Pallangyo, kwa kukatwa na shoka, imegoma kuzika mwili huo mpaka mahari waliyokuwa wakiidai ilipwe.

Vikao vya Familia za pande zote mbili vinaendelea na majadiliano ya mahari kisha baadae kupanga taratibu za mazishi.

Taarifa zinasema Moses hakuwahi kulipa Mahari ya kuishi na Mary na kwa mujibu wa Familia kwa taratibu zao licha ya tukio lililotokea lazima mahari ilipwe kwanza kwa Ndugu wa Mary ndipo azikwe.


Wakati huo huo bado jeshi la Polisi Mkoani Arusha linaendelea kumsaka Moses Pallangyo anayedaiwa kumuua Mkewe Mary Richard Mushi Wilayani Arumeru kwa kumkata na shoka.

No comments :

Post a Comment