Ndege ya mizigo ya jeshi la Uturuki imewasili leo nchini Somalia kusafirisha zaidi ya majeruhi 100 wa shambulio la bomu lililotokea jana mjini Mogadishu.
Ndege hiyo imekuja na jopo la madaktari na vifaa vya dharura vitakavyosaidia kuwahudumia majeruhi hao katika hospitali ya Recep Tayyip Erdoğan nchini Uturuki.
Shambulizi hilo, ni miongoni mwa mashambulizi endelevu nchini humo licha ya kuwa kikundi cha kigaidi cha Al-Shabab hakijajitangaza kuhusika na tukio hilo lakini watu wengi ulimwenguni wanakishuku na mauaji hayo ya zaidi ya watu 80.

No comments :
Post a Comment