dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, January 8, 2020

Canada yawatolea wito raia wake walioko nchini Iraq kuondoka haraka!

Canada yawatolea wito raia wake walioko nchini Iraq kuondoka haraka iwezenakanavyo nchini humo.

Canada yawatolea wito raia wake walioko nchini Irak kuondoka nchini Iraq kufuatia mauaji ya jenerali wa jeshi la Iran alieuawa katika shambulizi lililoendesha na jeshi la Marekani.

Jenerali Qassim Soleimani aliuawa katika shambulizi lililomlenga mjini Baghdad.


Wizara ya mambo ya mambo ya nje ya Canada imetoa tahadhari kwa raia wake kujielekeza nchini Iraq na kuwatolea witoo walipo nchini humo kuondoka haraka iwezekanavyo.

No comments :

Post a Comment