dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, April 4, 2020

COVID-19: UKIANZA KUPATA DRY COUGH FUATA MAELEZO YAFUATAYO KWA HARAKA SANA!

Mtu akihisi tu kuwa anaanza kukohowa bila ya kutoka makohozi  (dry coughing) afuate maelekezo haya, kwa Uwezo wa Allah Atapona .

Anachotakiwa kufanya ni kuwa, Usiku kabla ya kulala, kuchemsha maji ya moto na atie Vicks na ujifuke kwa  taula au kanga uvute mvuke kwa muda wa dakika 25 -30 kila siku kabla ya kulala.

Unavuta mvuke kwa kutumia pua yako na unatoa pumzi kupitia mdomo.

Ikiwa kama uko Zanzibar  unaweza kutumia mafuta ya karafuu badala ya Vicks, inasaidia zaidi kwasababu karafuu ni antibacterial, inasaidia zaidi kusafisha tundu za roho na za pua na ikiwa kuna chochote basi kinaondoka kwa Uwezo wa Allah.

Kwasababu Virus wa Corona kwanza huwa wanakaa muda siku 4 kwenye tundu za pua na kwenye koo, huwa wanajikusanya hapo, halafu ndio wanateremka chini kwenye mapafu.

Ikiwa utakuwa unavuta mvuke wa karafuu/Vicks, wale Virus waliojikusanya kwenye koo/pua siku ile wote unawamaliza, Ikiwa kwenye macho au kwenye uso, ule mvuke utauwa kila kitu, kwasababu  Virus sio kitu kinachoishi hakina roho, sio kama bacteria.

Virus ni fats ni kama mafuta au samli, ikipata moto tu inayayuka na ikinayuka inatoka.

Kwa hivyo unapojihisi tu kuwa kukohoa dry cough, usisubiri anza kufanya hayo maelekezo.

Allah Ampe kheri na Ujira mkubwa,  huyu ambae amepewa Uwezo na Allah, kutuelekeza dawa hii, Amin.

As I received

No comments :

Post a Comment