“Kuna Mashirika ya ndege yameshabook Watalii, hadi mwezi wa 8 ndege zimejaa, wanakuja kwasababu wanaujua ukweli, Tanzania ni salama, nimetoa maagizo kwa Waziri wa Maliasili na wa Uchukuzi, waruhusu ndege zije na wasiwekwe karantini, wakipimwa joto liko sawa waende wakatalii” - JPM
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

No comments :
Post a Comment