Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, June 27, 2020

MAKAMU WA RAIS AKIWA ZIARANI KICHAMA KINONDONI!

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kinondoni alipowasili katika Ofisi ya DMDP Magomeni Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo Juni 26,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kinondoni wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika Ofisi ya DMDP Magomeni Jijini Dar es Salaam leo Juni 26,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kinondoni leo Juni 26,2020 alipokuwa katika ziara ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments :

Post a Comment