dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, June 21, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA NA RAIS MSTAAFU AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE WAIFARIJI FAMILIA YA NKURUNZIZA BURUNDI!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakimjulia hali na kumfariji Mjane wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi Bibi Rev Denise Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali na kumfariji Mjane wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi Bibi Rev Denise Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza ambapo amemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki cha maombolezo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza na Mjane na Watoto wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi walipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza ambapo wamemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki cha maombolezo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na Mjane na Watoto wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi baada ya kuitembelea na kuifariji familia hiyo jana jioni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjane na Watoto wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza ambapo amemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki cha maombolezo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo nyumbani kwa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu ambapo amemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki cha maombolezo.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo nyumbani kwa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiagana na Mjane na Watoto wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi baada ya kuwafariji walipotembelea nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments :

Post a Comment