dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, June 18, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMESHIRIKI KUHUITIMISHWA BUNGE LA 11 DODOMA!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16,2020 ameshiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.

No comments :

Post a Comment