Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Zainabu Chaula (katikati) akikabidhi nyaraka zilizosainiwa za makabidhiano ya Vituo vya TEHAMA kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Bwana Mustapha Aboud Jumbe (kushoto) , (kulia) ni na Mtendaji mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Bi. Justina Mashiba akushuhudia
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Zainabu Chaula (katikati) akikabidhi funguo za Vituo 10 vya TEHAMA kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Bwana Mustapha Aboud Jumbe (kushoto) , (kulia) ni na Mtendaji mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Bi. Justina Mashiba akushuhudia.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Bwana Mustapha Aboud Jumbe (kushoto) akionesha bahasha yenye funguo za Vituo 10 vya TEHAMA mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Zainabu Chaula (katikati), (kulia) ni na Mtendaji mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Bi. Justina Mashiba
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Bwana Mustapha Aboud Jumbe (kushoto) akionesha bahasha yenye funguo za Vituo 10 vya TEHAMA mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Zainabu Chaula (kulia)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ndugu Mustapha Aboud Jumbe (wa kwanza kulia) akikagua ufanyaji kazi wa vifaa vya TEHAMA mara baada ya makabidhino (kulia kwake) ni Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Zainabu Chaula
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Zainabu Chaula (wa pili kulia waliokaa) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Bwana Mustapha Aboud Jumbe (wa pili kushoto waliokaa) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wakurugenzi na Watendaji wakuu wa Taasisi na Wizara wa Sekta ya Mawasiliano kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , (kushoto waliokaa) ni Dkt. Jim Yonazi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Zainabu Chaula (wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Bwana Mustapha Aboud Jumbe (wa pili kushoto waliokaa) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jim Yonazi (kushoto waliokaa) wengine ni Wakurugenzi na Watendaji wa Taasisi na Wizara wa Sekta ya Mawasiliano kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
No comments :
Post a Comment