Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Saturday, July 4, 2020
VERY SAD NEWS - ILALA ISLAMIC (DAR ES SALAAM) ON FIRE!
إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ -ا Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
Bweni la wanafunzi wa kidato cha kwanza Ilala Islamic jijini Dar es Salaam limeungua moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha vifo vya wanafunzi watatu. Tuwafariji wenzetu waendeshaji na wazazi pia. إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ - Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un ( "Surely we belong to Allah and to Him shall we return").
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment