dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, July 30, 2020

WAZIRI MKUU AONGOZA MAPOKEZI YA MWILI WA MZEE MKAPA MASASI!

Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa ukitelemshwa kutoka kwenye helkopta ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati ulipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Masasi kutoka Dar es salaam Julai 28, 2020 na baadae kupelekwa kijijini Lupaso wilayani Masasi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sif Ali Idd (wa pili kushoto) wakizungumza kwenye uwanja wa ndege wa Masasi wakati wakisubiri helkopta ilyobeba mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa, Julai 28, 2020. Wa pili kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na kulia ni Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mama Asha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment