zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, August 30, 2020

MAANDALIZI YALIKAMILIKA KWA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM DODOMA JANA!!

Majukwa yakiendelea kupambwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma tayari leo  Agosti 29,2020 kwa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan. Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 28 mwaka huu. 
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA.
Picha za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli zikiwa zimepambwa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ambapo uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu utafanyika leo Jumamosi.
Kijana muuza korosho Jamali Mohamed, akiangalia picha ya Mgombea Urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk. Magufuli iliyopambwa kwenye Uwanja wa Jamhuri.

Mambo yalivyo Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Bendera za Chama Cha Mapinduzi zikiwa zimelipamba Jiji la Dodoma.

No comments :

Post a Comment