Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, September 12, 2020

MHE.SAMIA SULUHU AFANYA MKUTANO WA KAMPENI MTWARA MJINI!

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini alipowasili katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 10,2020. Mkoani Mtwara. 
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini Mkoani Mtwara leo Septemba 10,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini leo Septemba 10,2020.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments :

Post a Comment