Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 24, 2020

MHE.SAMIA SULUHU AWAHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA MBEYA!

 
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Kiwira Magereza na Uyole Njia Panda Jijini Mbeya Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 22,2020
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Mbeya Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokuwa akiwahutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa CCM Ruanda Nzove Mkoani Mbeya leo Septemba 22,2020. 
Mshabiki na Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM akionesha Ushabiki wake kwa Chama chake kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa CCM Ruanda Nzove Jijini Mbeya Mkoani Mbeya leo Septemba 22,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments :

Post a Comment