Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, September 11, 2020

MHE.SAMIA SULUHU AWASALIMIA WANANCHI WA MCHINGA MKOANI LINDI AKIWA NJIANI KUELEKEA MTWARA!

 Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Mchinga Mkoani Lindi alipokuwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 09,2020.

No comments :

Post a Comment