Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Muekezaji Mzalendo wa Hospitali ya Tasakhtaa Mhe.Salim Hassan Turky, akimpokea Rais wakati akiwasili katika viwanja vya Hospitali hiyo kwa ajili ya uzinduzi wake uliofanyika leo.
Uzinduzi wa Hospitali Mpya ya Kisasa Iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk. Shein Vuga leo.
Jengo la Hospitali ya ilijulikanayo ya jina la Tasakhtaa inayomilikiwa na Mfanya Biashara Maaruf Zanzibar Salim Turkey iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Muonekano wa Jengo jipya la Hospitali lililojengwa na Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar inatarajiwa kufunguliwa kesho katika maeneo ya jirani na Wizara ya Afya Mnazi mmoja, jirani na Chuo cha Mwalim Bee majestiki Zenj.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Muekezaji Mzalendo wa Hospitali ya Tasakhtaa Mhe.Salim Hassan Turky, akimpokea Rais wakati akiwasili katika viwanja vya Hospitali hiyo kwa ajili ya uzinduzi wake uliofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mfanyabiashgara maarufu Ndg AbdulZakaria.katikati ni mmiliki wa hospitali hiyo Mhe Salim Turky.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Global Hospital Dk K. Ravindranath,wakati alipowasili katika hafla ya uzinduzi wa hospitali hiyo ya kisasa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa VIGOR Ndg Tofik Turky
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa VIGOR Ndg Tofik Turky
Mhe Salim Turky akiwatambulia Viongozi wa Hospitali ya Tasakhtaa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili katika viwanja vya hospitali hiyo vuga kwa ufunguzi wake leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akivungua kipazia kuashiria kuifungua Hospitali mpya na ya Kisasa ya Tasakhtaa, uzinduzi huo umefanyika leo kushoto Mmiliki wa hospitali hiyo Mhe Salim Turky.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuifungua Hospital ya Kisasa ya Tasakhtaa, kulia Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Global Hospital Dk. K.Ravindranath na kulia Mmiliki wa Hoteli hiyo Mhe Salim Turky
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Chumba cha Maabara Dk. Saghir Ahmad, wakati akitembelea hospitali hiyo baada ya kuifungua rasmin leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Mkuu wa Hospitali ya Tasakhtaa Dk Nagesh.K. alipotembelea chumba cha Cityscan katika hopitali hiyo akipata maelezo ya mashine hiyo ya kisasa itatowa huduma kwa wananchi watakaofika kupata huduma hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mhe Salim Turky akitowa maelezo ya matumizi ya CityScan hiyo mpya na ya kisasa.
Mashine mpya na ya Kisasa ya City Scan ikiwa katika hospitali hiyo mpya ya kisasa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo akiwa katika Chumba maalum cha huduma ya wazazi wakati akitembelea jengo hilo la hospital hiyo baada ya kuifungua rasmin leo. mjini Zanzibar mitaa ya vuga.
Mashine za kuhifadhi watoto wachanga waliokuwa bado kutimia miezi tisa kikiwa katika hiyo.
Dk. K.Ravindranath, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipotembelea baadhi ya vyumba vya huduma kwa wazazi katika hospitali hiyo akiwa katika chumba maalum cha kuzalia kina mama katika hospitali hiyo.
Chumba cha Widi ya ICU katika hospitali hiyo ya Tasakhtaa Vuga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya matumizi ya mashine ya kisasa ya X-Ray kutoka kwa Dk K.Ravindranath.
Mtaalamu wa chumba cha uporesheni katika hospital hiyo Dk Sridhaar, akitowa maelezo ya mashine ya Digital ya kufanya uchunguza wa maradhi ya tumbo kwa kutumia mashine hiyo bila ya kufanyiwa uporesheni ya kupasulia hutumika mashine hiyo kutibumaradhi yao, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitembelea jengo la hospitali hiyo leo baada ya kuifungua rasmin kutowa huduma ya Tiba kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania.akiwa na mmiliki wa hospitali hiyo Mhe Salim Turky.(Mr White)
Mhe Turky akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwa katika moja vyumba wa hospitali hiyo wakati ufunguzi wake.
Ust Jamal Murtadha akisoma Quran wakati wa ufunguzi wa hafla hiyo ya uzinduzi wa jengo jipya la hospitali ya Tasakhtaa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na viongozi meza kuu wakimsikiliza msoma Quran wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakimsikiliza msoma Quran Ust. Jamal Murtadha akisoma wakati wa hafla hiyo.
Mmiliki wa Hospitali ya Tasakhtaa Zanzibar Mhe Salim Turky akizungumza wakati wa hafla hiyo na kutowa maelezo ya mafanikio ya ujenzi wa Hospitali hiyo, kwa Rais wa Zanzibar na Wananchi waliohudhuria sherehe hiyo ya uzinguzi wake rasmin uliofanyika leo 28-3-2015.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Waziri wa Nchi Ofisi ra Rais Ikulu Mhe Dk Mwinyihaji Makame na Dk K Ravindranath wakimsikiliza Mhe Salim Turky akizungumza wakati wa hafla hiyo. ya uzinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hospitali ya Tasakhtaa Zanzibar, akitowa nasaha zake kwa muwekezaji huyu,
Baadhi ya wageni Waalikwa kutoka Comoro wakifuatilia na kumsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya Uzinduzi wa Hospitali mpya na ya kisasa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar.
Mabalozi Wadogo wanaowakilisha Nchi zao Zanzibar wakifuatilia hala hiyo wakati Rais wa Zanzibar akihutubia hafla hiyo.
Mkurugenzi wa ZIPA Ndg Salum Khamis Nossor akizungumza wakati wa hafla hiyo
Baadhi ya Waalikwa wakiwa katika ukumbi wa sherehe wakifuatilia hafla hiyo ya ufunguzi.
Wafanyakazi wa Makampuni ya VIGOR wakifuatilia hafla hiyo
Mwakilishi wa Familia ya Turky akitowa neno la Shukrani baada ya hafla hiyo
Shekh Ahmeid Alawi kutoka Comora akisoma dua baada ya kumalizika kwa hafla ya sherehe za uzinduzi wa hospitali ya kisasa ya Tasakhtaa Zanzibar.
Viongozi wa meza kuu wakisitikia dua ya ufungaji wa sherehe hizo iliosomwa na Shekh kutoka Visiwa vya Comoro Shekh Ahmeid Alawi.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria ufunguzi wa hospitali ya Tasakhtaa wakiitikia dua.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky wakati alipofika kufungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kufungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana mkono wa pongezi na Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky baada kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (kushoto ni Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital (kulia) Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo alipotembelea mashine ya Xray baada yakuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (wa kwanza kulia) Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global HospitalDkt,K.Ravindranath(wa pili kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky wakiangalia mashine ya kufanyia Upasuaji wakati alipotembelea Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo baada ya kuifungua rasmi, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global HospitalDkt,K.Ravindranath (kulia) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za kutoa huduma katika Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo baada ya kuifungua rasmi, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Mwakilishi wa Kampuni ya Global Hospital ya India Dkt.Nagesh Rao (kulia) wakati alipotembelea katika vyumba vya upasuaji vyenye mashine za kisasa baada ya kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (katikati) Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital ya India Dkt,K.Ravindranath (katikati) wakati alipotembelea chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) baada ya kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (kulia) Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk.Jamala A.Taibu,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Madaktar na waalikwa katika sherehe ya ufunguzi wa Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Hospitali hiyo leo, [Picha na Ikulu.]
Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky akitoa salamu zake mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) baada kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Kaimu Waziri wa Fedha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini akisema machache na kumkaribisha mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na wananchi baada ya kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za ufunguzi waHospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo inayomilikiwa na Kampuni ya Vigor Turky ya hapa Zanzibar ambayo itatoa huduma za Maradhi mbali mbali,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Viongozi wa Serikali na taasisi mbali mbali na waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo inayomilikiwa na Kampuni ya Vigor Turky ya hapa Zanzibar ambayo itatoa huduma za Maradhi mbali mbali,
[Picha na Ikulu.]
PAST NEWS.
News
MWANZA, Tanzania – One of the biggest private hospitals in Zanzibar is expected to open its doors on the island later this year.Owned by Turky’s Group of Companies, the 120-bed hospital is incorporated with the Global Hospitals Group of India.
Director of Turky Group of Companies, Salum Turky told East African Business Week last week that the hospital would be under the management of experts from Global Hospitals Group of India.
“Ours will be a hospital that would cover several medical disciplines especially; mother and child care, kidney and heart diseases,” he said.
The hospital is expected to open its doors in December this year.
Turky said his company, apart from other businesses it has decided to enter the health sector in order to supplement government effort in health services provision.
According to Turky the cost of the hospital is about $14 million.
“Our mission and vision is to introduce cheap and affordable medical services especially to Zanzibaris who are used to travel to the Mainland to seek for specialized medical treatment,” he said.
Global Hospitals Group was started in Hyderabad, Andhra Pradesh, India. It now has several specialty hospitals all over the world.
It was founded by Dr K. Ravindranath, a pioneer in Surgical Gastroenterology and Laparoscopic Surgery as a multi-organ transplant centre.
It also specializes as a referral center for complex surgeries and treatments in several medical disciplines.
Global Hospitals Group’s dominant presence is in South India, delivering exceptional healthcare services to people in India and world across.
The Group is one of India’s fast growing chains of tertiary care multi-super specialty and multi-organ transplant hospitals.
Mnazi Mmoja Hospital is the main government hospital in Zanzibar located at the Mnazi Mmoja area just outside the historic Stone Town at the centre of Zanzibar Town.
Mnazi Mmoja Hospital specializes in paediatrics, gynaecology, internal medicine (gastrology, cardiology, pulmology, nephrology), surgery, dermatology, dental, intensive care unit, HIV ward, ophthalmology, ENT, acupuncture, physiotherapy and occupational therapy.
No comments :
Post a Comment