Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, October 16, 2020

UFUNGIUZI WA CHUO CHA AMALI DAYA MTAMBWE - PEMBA _ 15/10/2020!


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akipata maelezo ya Boti ya Kisasa itakayotumika kwa
mafunzo kwa Wanafunzi watakaojiunga na Chuo hicho,kutoka kwa Mkurugenzi
Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Bakari Ali Silima
(mwenye kipaza sauti) wakati akitembelea darasa la masna (kulia kwa
Rais) Waziri ya Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma.(Picha
na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akitembelea Majengo ya Chuo cha Amali Dayamtambwe
Wilaya ya Wete Pemba akipata maelezo kutoka kwa Mshauri Elekezi wa Chuo
Cha Amali Dayamtambwe.Eng. Mansoor Mohammed Kassim, wakati akitembelea
majengo hayo baada ya kuyafungua leo 15/10/2020. Wilaya ya Wete
Pemba.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akitembelea majengo ya Chuo cha Amali Dayamtambwe
baada ya kukifungua rasmin leo na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu
na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Dkt.Eng. Idriss Muslim Hija na(kushoto kwa
Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe
Jumba.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Majengo ya Chuo cha Amali Dayamtambwe Wiliaya ya
Wete Pemba yaliofunguliwa leo 15/10/2020. na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kitamba akiweka Jiwe la Msingi la
Ufunguzi wa Chuo Cha Amali Dayamtambwe na (kulia kwa Rais) Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais)
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma,
Wilaya ya Wete Pemba, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Chuo
hicho leo 15/10/2020.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment