dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, January 17, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AMEJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SALA YA IJUMAA ILIOFANYIKA MSIKITI WA MIEMBENI!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisikiliza Hutuba ya Sala ya Ijumaa ikitowa na Sheikh Khalid Ali Mfaume Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar, kabla ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembezi Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia na kuzungumza nao baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar.
 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimiana na kuzungumza na Waumini wa Kiislam baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar leo 15-1-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua iliyosomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembeni na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar leo 15/1/2021.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment