Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Hayati Dk.John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania katika mazishi yaliyofayika kwenye makaburi ya familia Chato mkoani Geita leo.
Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Bashiru Ali Kakurwa akiweka shada la maua katika kaburi la Hayati Dk.John Pombe Magufuli mara baada ya mazishi yaliyofanyika nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la Hayati Dk.John Pombe Magufuli mara baada ya mazishi yaliyofanyika nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo.
Watoto wa Hayati Dk.John Pombe Magufuli wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao katika mazishi yaliyofayika kwenye makaburi ya familia Chato mkoani Geita leo
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi akiweka shada la maua kwenye kaburi la Hayati Dk.John Pombe Magufuli mara baada ya mazishi yaliyofanyika nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Hayati Dk.John Pombe Magufuli mara baada ya mazishi yaliyofanyika nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulah akiweka shada la maua kwenye kaburi la Hayati Dk.John Pombe Magufuli mara baada ya mazishi yaliyofanyika nyumbani kwake Chato mkoani Geita leoMke wa Hayati Dk.John Pombe Magufuli Mama Janeth Magufuli akiwa ameketi pamoja na Naibu Spika wa Bunge Dk.Tulia Ackson wakati wa mazishi ya Mumewe yaliyofanyika nyumbani kwake Chato Mkoani Geita leo
Mawaziri mbalimbali wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu wkaishiriki katika mazishi ya Hayati Dk.John Pombe Magufuli yaliyofanyika Chato mkoani Geita leo katika mazishi yaliyofanyika kwenye eneo la familia nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo.
Naibu Spika wa Bunge Dk.Tulia Ackson akiweka shada la maua kwenye kaburi la Hayati Dk.John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya tano katika mazishi yaliyofanyika kwenye eneo la familia nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo.
No comments :
Post a Comment