Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, April 3, 2021

MATOKEO PICHANI!

 

Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Liberata Mulamula akila kiapo cha utii bungeni katika kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akila kiapo cha utii cha kuwa Mbunge bungeni katika kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ,akipongezwa na Spika wa bunge Job Ndugai mara baada ya kula kiapo cha utii kuwa Mbunge wakati wa kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akipokea vitendea kazi na Katibu wa Bunge, Stephen Kigaigai,(kulia) ni Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kula kiapo cha Utii kuwa Mbunge wakati wa kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Bashiru Ally akila kiapo cha utii mbele ya Spika wa Bunge, Job Ndugai katika kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Bashiru Ally akipongezwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai mara baada ya kuapishwa kuwa Mbunge wakati wa kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Bashiru Ally akipokea vitendea kazi kutoka kwa Katibu wa Bunge, Stephen Kigaigai,(kulia) ni Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kula kiapo cha Utii kuwa Mbunge wakati wa kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, Bungeni jijini Dodoma, April 1, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge kwenye viwanja vya Bunge, kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Mjini Adv. Stephen Byabato, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba George Ruhoro na Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi, Ezra Chiwelesa, jijini Dodoma, April 1, 2021.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, April 1, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment