dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, April 3, 2021

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awaapisha viongozi mbalimbali aliowateua Ikulu Chamwino mkoani Dodoma!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Liberata Rutageruka Mulamula kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki-

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Hussein Othman Katanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (CS) katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021. 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Othman Katanga akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ummy Ally Mwalimu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Selemani Saidi Jafo kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mwigulu Lameck Nchemba Madelu kuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Kitila Alexander Mkumbo kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Viongozi hao aliowateuwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha William Tate Ole Nasha kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mwita Mwikwabe Waitara kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Abdallah Hamis Ulega kuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Pauline Philipo Gekul kuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mwanaidi Ally Hamis kuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hamad Hassan Chande kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mbarouk Nassoro Mbarouk kuwa Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hamad Yussuf Masauni kuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipa
Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment