dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, April 4, 2021

RAIS MHE.SAMIA AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM JANA!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge aliyeambatana na viongozi wenzake wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akitokea Jijini Dodoma jana tarehe 03 Aprili 2021
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe pamoja na viongozi wengine wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar es Salaam mara baada kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akitokea Jijini Dodoma jana tarehe 03 Aprili 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam wakati akiondoka uwanjani hapo mara baada ya kuwasili jana tarehe 03 Aprili 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili jana tarehe 03 Aprili 2021 wakati akitokea jijini Dodoma. PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment