dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, May 28, 2021

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA!

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu (African court on Human and peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei, 2021 

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu (African court on Human and peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei, 2021. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu (African court on Human and peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei, 2021. PICHA NA IKULU.

No comments :

Post a Comment