Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, June 5, 2021

JAMANI, MOLA SIO WAKUCHEZEWA - SABAYA AFIKISHWA MAHAKAMANI JANA!

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya jana Juni 4, 2021 majira ya saa saba mchana amefikishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Arusha akiwa na wenzake watano.
Sabaya na watuhumiwa wenzake wakiwa wamechuchumaa kabla ya kuingizwa kwenye mahabusu ya mahakama ya Sekei
Sabaya akishuka kwenye gari iliyomleta mahakamani akiwa amefungwa pingu
Gari iliyokuwa imewabeba Sabaya na watuhumiwa wenzake watano ikiwasili mahakamani

No comments :

Post a Comment