dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, July 15, 2021

Simba Queens wakabidhiwa kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara!

Makamu wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Steven Mnguto akimkabidhi Kombe Nahodha wa Simba Queens, Julieth Singano akikabidhiwa Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu wa 2020/2021.
Simba Queens walikabidhiwa Kombe hilo walilolitwaa kwa mara ya pili msimu huu baada ya kufungwa 2-1 na timu ya taifa, Twiga Stars jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

No comments :

Post a Comment