dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, August 4, 2021

MHE. RAIS SAMIA KIGALI, RWANDA!

MHE. RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA RAIS KAGAME IKULU KIGALI
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda Ikulu Kigali Nchini Rwanda leo Agosti 02,2021. Mhe. Rais Samia ameanza ziara ya Kiserikali ya siku mbili Nchini Rwanda kwa mwaliko wa Rais Kagame. IKULU.

MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI CHAKULA CHA JIONI NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi na Wananchi wa Rwanda, kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa kwa ajili yake na Rais Kagame Mjini Kigali Rwanda leo Agosti 02,2021. Mhe. Rais Samia yupo Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitambu cha kumbukumbu alipotembelea Makumbusho ya Hifadhi ya Kimbari Kigali Nchini Rwanda leo Agosti 02,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, wakati wa Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Kagame Mjini Kigali Rwanda kwa ajili yake leo Agosti 02,2021. Mhe. Rais Samia yupo Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili. IKULU.

No comments :

Post a Comment