dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, September 3, 2021

Mhe. Rais Samia akisalimiana na Wananchi wa Bagamoyo!

Wananchi wa Tegeta wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kusimama na kuwasalimia katika eneo hilo wakati akielekea Bagamoyo mkoani Pwani kwa ajili ya kurekodi kipindi maaraufu cha Royal Tour leo tarehe 02 Septemba, 2021

Wananchi wa Zinga pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Pwani wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kusimama katika eneo hilo wakati akielekea Bagamoyo mjini mkoani Pwani kwa ajili ya kurekodi kipindi maaraufu cha Royal Tour leo tarehe 02 Septemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. 
PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Bagamoyo Mkoani Pwani leo Sept 02,2021 alipowasili katika Eneo la Uvuvi Bagamoyo kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. 
PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment