dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 2, 2021

RAIS DK.MWINYI ATEMBELEA HOSPITALI YA MICHEWENI PEMBA!


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Maabara Hospitali ya Micheweni Pemba Dkt. Shahid Mansoor, alipotembelea Maabara ya hospitali hiyo akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Micheweni Pemba wakati wa ziara yake baada ya kupata maelezo kutoka kwa Uongozi wa hospitali hiyo na kuitangaza rasmin kuwa Hospitali ya Wilaya
MADAKTARI na Wauguzi wa Hospitali ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakiti wa ziara yake kuona maendeleo ya hospitali hiyo na kuipandisha kuwa Hospitali ya Wilaya.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment