dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, November 21, 2021

BENKI YA STANBIC YAANDAA MKUTANO KWA NJIA YA MTANDAO KWA WANA-DIASPORA KWAAJILI YA UZINDUZI WA ACCOUNT MAALUM IITWAYO "NYUMBANI BANKING"!

PLEASE NOTE BELOW, THAT: 
Kufungua account ni lazima uwe Mtanzania mwenye kidhibitisho kama (passport au kitambulisho cha NIDA)
Pia, unaweza usiwe Mtanzania lakini ukawa na passport ya nje, kibali cha kufanya kazi nchini na kibali cha kuonyesha unaishi nchini kwa muda fulani.
Bila ya hivyo huwezi kufungua account kwenye benki yoyote kwenye Jamhuri yetu.

No comments :

Post a Comment