THANK YOU!!!

Assalaam alaykum wasomaji wetu wote!
Kwa wote wale wanaotuunga mkono kupitia Patreon yetu tunawapa a big ahsantesana na tunawaomba waendelee. Kwa wale ambao bado wanasitasita kutuunga mkono, tunawaomba waamue kutuunga mkono kama wenziwao wanavyofanya, ili tuendelee na juhudi zetu za kuitangaza nchi yetu ya Zanzibar to the rest of the World!
Of course, 2021 just like 2020, has been another difficult and challenging year for us all - having to deal with the pandemic and the restrictions that it brought with it.
The good thing is that, we have all been in this demise together and therefore we must continue to be together and at the same time giving each other a booster shot typical of the Zanzibari kindness and politeness.
By sticking rigidly to the rules and protocols and following all the safety precautions, we will definitely beat the corona virus, just like our forefathers did with the 1918 influenza virus.
Tunakutakieni wasomaji wetu wote kila la kheri na kila la mafanikio katika mwaka mpya wa 2022. Mola akubarikini na akufanyieni wepesi in all your endeavors - Ameen!
No comments :
Post a Comment