Balozi James Bwana amepotosha umma.
Sio kweli kwamba Wanaoishi nchi zisizoruhusu uraia pacha hawatanufaika kwa Tanzania kuwatambua diaspora Kama raia wake wa asili.
Uraia wa asili ni Tunu kutoka kwa mungu na hata wale wanaoishi inchi zisizoruhusu uraia pacha wanatafaidika nao.
Tanzania ikiwatambua diaspora wake kwa kupitia uraia wao wa asili haijalishi wanaingia nchini kwa nyaraka za kusafiria za nchi gani, kwani wakiingia nchini watapata haki zote Kama raia wengine wa ndani ya Tanzania.
Hivyo basi, Hadhi Maalum itawanyima diaspora Haki Yao ya Kimungu ya uraia wa asili. Vilevile, Hadhi Maalum ni privilege, waTanzania wanaweza nyang’anywa hiyo Hadhi Maalum wakati wowote.
Uraia haunyang’anywi.
#UraiaPacha
#HakiYaKuzaliwa
#BirthRight
No comments :
Post a Comment