1.Mtu yeyote au kundi au taasisi anaweza kununua Samia Infrustructure Bond.
2.Kununua kiwango cha ni kuanzia laki 5 na kuendelea.
3.Bond inanunuliwa kupitia benki ya CRDB na kupitia simu yaani simbanking App kwa urahisi kabisa.
4.Kipindi cha mnada wa bond hii itakuwa mwezi mmoja na utafungwa Jan 17,2025
5.Riba kwa mwaka itakuwa 12%
6.Bond hii itakuwa(mature) baada ya miaka mitano na baada ya hiyo mitano mtaji wa mteja atarudishiwa.
7.Riba itagawiwa kila robo mwaka yaani baada ya miezi 3.
8.Bond hii haina kodi hivyo riba yako utapewa kama ilivyo bila makato yoyote.
9.Bond hii haina gharama za uendeshaji zozote kwa mteja.
10.Pesa itakayokusanywa italipa mikataba ya wakandarasi na TARURA kwa mikataba ya sasa na mipya.Na malipo kwa wakandarasi itaanza Feb,2025 baada ya mnada wa bond kukamilika.
11.Ukiwa na bond ya Mama Samia,utaitumia kama dhamana kupata mkopo wa mpaka 80% ya mtaji wako kutoka CRDB Bank.
•Kama ilivyoelezwa bond mnufaika ni TARURA kwa maana ya kuwezesha malipo ya wakandarasi tunahimizwa kuhamasisha watu,jamaa,marafiki,vikundi vya whatsap kununua bond hii kwa maendeleo ya Taifa letu.

No comments :
Post a Comment