Tunayo furaha kukutambulisha mmoja wa wazungumzaji wetu kwenye Halal Investment Summit.
Dkt. Muhsin Masoud ni mtaalamu mkongwe wa benki na mwanazuoni, aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Amana Bank na PBZ . Uzoefu wake wa kitaaluma na kiutendaji katika sekta ya fedha unamfanya kuwa sauti muhimu kwa yeyote anayetaka kuelewa uwekezaji wa halali kwa kina. 💡
Njoo ujifunze moja kwa moja kutoka kwake! ✨
📍 Hyatt Regency Hotel, Dar es Salaam
📅 Alhamisi, 12 Novemba 2026
⏰ Saa 2:30 asubuhi hadi saa 10:00 jioni
💰 Ada ya kushiriki: TZS 150,000/=
🎟️ Jisajili sasa: www.tikeza.co.tz
https://www.youtube.com/@zanzibarnikwetu1998?sub_confirmation=1

No comments :
Post a Comment