Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, September 15, 2012

Mkutano wa Ufungaji wa Kampeni Chama cha CUF Bububu.

  Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibarahim Lipumba akiwahutubia wafuasi wa Chama cha CUF katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya kwa geji na kufunga kampeni hizo kwa kujiandaa na uchaguzi kesho 16-9-2012.

  Naibu Katibu Mkuu wa CUF Ismail Jussa, akiwahutubia wanachama wa CUF katika mkutano wa kampeni viwanja vya kwa geji bububu.

  Makamu Mwenyekiti wa CUF Machano Khamis akisisitiza jambo katika mkutano wa ufungaji wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Bububu zilizofanyika katika kiwanja cha Kwa Geji Bububu,



  Wanachama wa CUF wakishangilia katika mkutano wa kampeni katika viwanja vya Kwa Geji Bububu, zilizofungwa na Mwenyekiti wa CUF Taifa Ibrahim Lipumba.


Source: Mapara


No comments :

Post a Comment