Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, September 15, 2012

Watu wasiojulikana Usiku wa Leo Wameitia Moto Maskani ya Kachorora.


  Askari wa Kikosi za Zimamoto Zanzibar wakiwa katika zoezi la kuuzima moto uliokuwa wakiwaka katika maskani ya Kachorora Rahaleo unaosadikiwa kutiwa na watu wasiojulikana usiku wa jana katika maskani hiyo na kusababisha hasara ya mali ya moja ya duka la kutengeneza makochi katika maskani hiyo.


 Wananchi wakishughudia moto uliokuwa ukiunguza mali katika maskani ya Kachorora jana usiku.

 Mabaki ya Duka la kutengeneza makochi katika maskani hiyo kama inavyoonekana pichani.

 Moja ya Uharibifu uliotokea katika maskani hiyo

  Wananchi wakjiangali jengo la maskani ya Kachorora Rahaleo leo asubuhi baada ya sehemu yake kuunguwa kwa moto jana usiku na leo kuipamba maskani hiyo kwa bendera baada ya tukio la jana la kutiwa moto na watu wasiojulikana na kusababisha hasara.


Source: Mapara

No comments :

Post a Comment