Kesi ya Sheikh Ponda mashahidi waingia ‘mitini’
- Hakimu aamuru mmoja akamatwe
- Wengine watoa visingizio, majina yao yafichwa
- Wakili wa utetezi amlima barua DPP
Wajumbe ZEC acheni kufuata matakwa ya wanasiasa
- Wanaomaliza muda wao wamuaga Maalim Seif
- Akerwa kutohakikiwa daftari la wapiga kura
Nyerere alikuwa kiongozi wa dini au siasa?
- Ndiye muasisi wa Mfumokristo nchini
Hongera Waislamu, Maaskofu wanagwaya!
Hujuma dhidi ya Waislamu wa Zanzibar
Zanzibar bado inamuhitaji Musa atayetuonesha mchawi
Vijana 2000 wapatiwa matibabu dawa za kulevya Z’bar
- Zaidi ya 400 waacha kabisa
Februari mwisho wa kuhamia digitali Zanzíbar
Lushoto wafanya kongamano kubwa la Waislamu
Maalim Seif asisitiza elimu ya kuhifadhi mazingira
Februari mwisho wa kuhamia digitali Zanzíbar
Wakristo Uingereza wasilimu kwa kasi
- Waufanya Uislamu kukua kwa kasi zaidi
Soma nakala yako
