Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, January 16, 2013

katiba mpya: MAALIM SEIF ALIPOKUTANA NA TUME YA KATIBA NYUMBANI KWAKE MAJUZI!

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi warka maalum Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania Jaji mstaafu Joseph Warioba baada ya kuuwasilisha mbele ya wajumbe wa tume hiyo ikiwa ni maoni yake binafsi kuhusiana na mabadiliko ya katiba.

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania. kushoto ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji mstaafu Joseph Warioba na kulia ni Makamu mwenyejiti Augostino Ramadhan.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na  Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya katiba Tanzania Jaji mstaafu Joseph Warioba akiambatana na katibu wake Assaa Rashid.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwasilisha maoni

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Mjumbe wa  Tume ya mabadiliko ya katiba Tanzania Salim Ahmed Salim baada ya mazungumzo na wajumbe wa tume hiyo nyumbani kwake Mbweni Zanzibar.

Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment