Maalim Seif Sharif Hamad
Written by Ashakh (Kiongozi) // 18/01/2013
Huu ni utaratibu wa kawaida kwa kiongozi huyo kwenda nchini India kwa ajili ya ukaguzi wa afya kila baada ya miezi sita, tangu alipofanyiwa operesheni ndogo ya magoti mwaka 2011.
Maalim Seif anatajiwa kurejea nchini mwanzoni mwa mwezi ujao.
Maalim Seif anatajiwa kurejea nchini mwanzoni mwa mwezi ujao.
Imetolewa na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, 18 Januari 2013.
No comments :
Post a Comment