dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, January 12, 2013

ZANZIBAR: MCHANGO WA TIBA KWA MTOTO MGONJWA - PEMBA!

Mtoto Suleiman Hamad. Ana miezi mitano. Kutoka Fundo Pemba. Ana matatizo ya maji kwenye ubongo. kichwa chake kinakuwa kikubwa kila kukicha. wazazi wake hawana uwezo wa kumtibu. Kwa sasa anapatiwa matibabu hospital ya Muhimbili. Anahitaji msaada wangu na wake. Donate for the treatment of this poor baby. Malipo kwa Allah. wasiliana nami kwa msaada na maelezo. Allah bless you all
Mtoto Suleiman Hamad. Ana miezi mitano. Kutoka Fundo Pemba. Ana matatizo ya maji kwenye ubongo. kichwa chake kinakuwa kikubwa kila kukicha. wazazi wake hawana uwezo wa kumtibu. Kwa sasa anapatiwa matibabu hospital ya Muhimbili. Anahitaji msaada wangu na wako. Donate for the treatment of this poor baby. Malipo kwa Allah. Allah bless you all.

Assalaam alaikum...

Hapo juu ni picha ya mtoto ambaye amezaliwa akiwa na tatizo la maji katika ubongo wake na ambaye mwenye familia ya kimasikini, kutoka kisiwa cha Fundo huko Pemba.

Kwa ajili ya tatizo hili, tunawaomba wana-Diapsora mulioko GTA, ST. Catherine, Niagara na vitongoji vyengine vya Toronto, kujitahidi kuchangia kuanzia kiwango cha dola 5 tu kwa ajili ya kumsaidia mtoto huyu ambaye pia tumuombee dua Allaah ampe shifaa.

Tafdhali wasilisheni michango yenu kwa Leila 416-541-0965, Hassan Othman 416-438-7857, Mohammed al-Nabhany 647-499-6245. Tafdhali ukipata taarifa hii wajuilishe wengine ili na wao waweze kusaidia. Kiwango cha chini ni dola tano tu.

Allaah awajaalie moyo wa kusaidia kwa ajili yake, na tukumbuke kuwa ukitoa kwa ajili yake basi anakutilia baraka katika mapato yako. Amina.

Mwana-Diaspora
Nabhani



No comments :

Post a Comment