Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Tuesday, June 4, 2013

RASIMU YA KATIBA MPYA!

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilali, akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya uzinduzi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Joseph Warioba na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Agustino Ramadhani.

No comments :

Post a Comment