Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, July 23, 2013

Maalim Seif atembelea Kaskazini Unguja

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad akimfariji mzee Ali Juma Makame wa Mkwajuni, baada ya kumjuilia hali ikiwa ni ziara ya kiongozi huyo ya kutembelea wagonjwa na wafiwa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimfariji mzee Ali Juma Makame wa Mkwajuni, baada ya kumjuilia hali ikiwa ni ziara ya kiongozi huyo ya kutembelea wagonjwa na wafiwa.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad, akimjuilia hali mzee Faraji Mziwanda wa Chaani, ikiwa ni ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimjuilia hali mzee Faraji Mziwanda wa Chaani, ikiwa ni ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad, akimjuilia hali Haji Makame Sangire wa Kigunda, ikiwa ni ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.  Picha zote na Salmin Said, OMKR.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimjuilia hali Haji Makame Sangire wa Kigunda, ikiwa ni ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Picha zote na Salmin Said, OMKR.
Chanzo: ZanzibariYetu

No comments :

Post a Comment