Kuwasili kwa Miili ya Marehemu waliokufa
Dafur ikipokelea Uwanja wa Ndege jana na
kuziko leo Mwanakwerekwe
Bregedia Jenerali Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Sharif Shekh. Othman,
akizungumza na ndugu na jamaa wa marehemu kabla ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Zanzibar jana.
Ndege ilichukuwa miili ya Askari wa JWTZ ikiwasili katika uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ikitokea Dar-es-Salaam,
tayari kwa mazishi yanayofanyika leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar.
Ndugu na Jamaa wa marehemu wakiwa katika uwanja wa ndege wa
Zanzibar kupokea miili ya ndugu zao waliofarika katika jeshi la Kimataifa la kulinda
Amaan Dafur nchini Siudan.
Wananchi wakiwa na Makamanda wa JWTZ kupokea miili ya Jamaa zao
katika uwanja wa ndege wa Zanzibar , kwa kuwasili kwa miili hiyo ya
marehemu kwa ajili ya maziko.
Mmoja wa Kizuka akiongozana na ndugu zake alipowasili uwanja wa
ndege wa Zanzibar akitokea Dar kupokea mwili wa marehemu mume wake
Mmoja wa Kizuka akiongozana na ndugu zake alipowasili uwanja
wa ndege wa Zanzibar akitokea Dar kupokea mwili wa marehemu
mume wake akifarijiwa na kuongozwa katika sehemu husika kwa ajili
ya matayarishi ya mazishi .
CHANZO: ZANZINEWS
No comments :
Post a Comment